Genesis 2:7-8

7 a Bwana Mwenyezi Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi
Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu.
ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.

8 cBasi Bwana Mwenyezi Mungu alikuwa ameotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, huko akamweka huyo mtu aliyemuumba.
Copyright information for SwhKC